Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal
(kulia), akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Seif Rashid
machapisho mbalimbali baada ya kuzindua kongamano la siku mbili la
kimataifa la watoto walio katika mazingira hatarishi Dar es Salaam leo.
Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba machapisho hayo.
Makamu wa Rais Dk.
Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Said Sadiki machapisho hayo kwa niaba ya wakuu wote wa mikoa.
Mratibu wa Ulinzi na Usalama wa Mtoto
kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (Unecef),
Mbelwa Gabagambi, akizungumza katika hafla hiyo.
Mwakilishi wa watoto, Coletha Emanuel
kutoka mkoani Shinyanga akisoma hutuba yao mbele ya mgeni rasmi, Makamu
wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal.
Wadau wa maswala ya watoto wakiwa kwenye kongamano hilo.
Watoka kutoka mikoa mbalimbali wakiwa kwenye
kongamano hilo.
Wanahabari wakiwa kwenye uzinduzi wa kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment