Tuesday, February 7, 2017

TUNDU LISU AKAMATWA NA POLISI DODOMA


 

Mbunge na mwanasheria mkuu wa chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundu Lissu ambaye pia ni Waziri kivuli wa masuala ya Sheria na Katiba, ametiwa nguvuni na polisi. Lissu alikamatwa jana katika Makao mkuu Dodoma, na hivi sasa anashikiliwa katika kituo kikuu cha polisi jijini Dar es Salaam. 

Utalii wa ndani

MANENO MAZITO YA PAUL MAKONDA KWA VIJANA - USIKATISHWE TAMAA