Saturday, May 16, 2015

PICHA:VIWANJA VYA NDEGE HATARI ZAIDI DUNIANI



Lukla Airport Nepal

Lukla 

 Kansai International Airport

Osaka, Japan 
Kansai International Airport

Gibraltar Airport

Gibraltar Airport 

Madeira International Airport

Madeira, Portugal 
Madeira International Airport 

Ice Runway

Antarctica
Ice Runway 

Courchevel International Airport

Courchevel, France
Courchevel International Airport 
Picha & Maelezo Bofya hapa


 

 

Tuesday, May 5, 2015

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA??????



Zaidi ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bado kuna watu ambao wakipoteza wapendwa wao hulazimika kuwabeba kwenye machera hii ni kutokana na umasikini hususani maeneo ya vijijini, hali imepelekea kuwepo kwa makundi mawili yalionacho na wasiokuwa nacho.picha kwa hisani ya mtandao.

MGOMO WA MADEREVA MBEYA





 Madereva wengi nchini wamefanya mgomo wa vyombo vya usafiri, tangu jana asubuhi mpaka siku ambayo bado haijajulikana hatima ya mgomo huo, wakazi wa jiji la mbeya wajikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na adha ya usafiri kutokana na vyombo hivyo kuweka mgomo, wasafiri wa mikoa na wilaya mbali mbali bado wapo katika halingumu sambamba na wanafunzi wasomao mbali kidogo na  jiji la mbeya.


baadhi ya Abilia ambao ilitakiwa wasafiri tangu jana wakiwa katika pilika pilika stendi kuu soko matora kusubiri hatima ya mgomo huo.




wanafunzi wajikuta hakizunguka zunguka katika stendi ya kabwe kuangahikia usafiri wa kuwapeleka shule.


bajaji zikiwa zimeingia barabarani kukusanya abilia kwa bei ya juu kulingana na daladala zinazo fanya mzungunguko jijini hapo.


   Abilia wakiwa katika butwaa katika stendi ya zamani mwanjerwa.


hivi ndivyo hali ilivyo sasa jijini mbeya.
picha zote na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.